CHADEMA yazidi kuikalia kooni CCM
CHADEMA yazidi kuikalia kooni CCM
CHADEMA Imeendelea
kuwatesa wapinzani wao CCM kwa kuendeleza kwa kasi kampeni yake ya VUA
GAMBA VAA GWANDA,ambapo jana jioni kabisa Mwenyekiti Vijana (BAVICHA)
John Heche aliwapokea wanachama wengi wa CCM walioamua kujivua magamba
na kujiunga na M4C.Anayeonekana na gwanda jeusi pichani akiwa na
mwenyekiti heche ni ndg Godfrey Chikandamwali aliyekuwa mjumbe wa kamati
ya utendaji wa CCM wilaya ya Kinondoni,pamoja naye ni ndugu yake Anna
Chikandawali mjumbe wa UWT wilaya,na wengine wengi.Heche amepokea
wanachama hao Mwenge jijini Dar es Salaam.
Comments
Post a Comment