KANUMBA THE GREATS





KANUMBA THE GREATS

 BAADA YA KANUMBA , WOLPER NAYE ATWAJWA….. FREEMASON.
 Kanumba alijiunga NIGERIA, Wolper AFRICA KUSINI. KANUMBA WOLPER: Alijiunga kutafuta Nimeahidiwa Mvuto na mali maisha Akafanikiwa mazuri na Lakini… na ulinzi wa afya Yangu FREEMASON( wajenzi huru) HEKAHEKA; Ya wimbi la mastaa wa Bongo kutumika kwenye imani inayodaiwa kuwa nay a kishetani duniani maarufu kwa jina la freemasona.k.a wajenzi huru inazidi kuchukua nafasi kwa kasi baada ya hivi karibuni kudaiwa kuwa staa wa movie za Bongo, Jaequeline Wolper Massawe ametumbukia humo. NI NCHINI AFRIKA KUSINI Kwa mujibu wa chanzo hicho cha uhakika Wolper ameinamisha kicha na kumwagiwa maji ya imani hiyo kama ishara ya kujiunga nchini Afrika Kusini, mapema mwaka huu. NANI SHAHIDI?

 Mmoja wa marafiki wa Wolper aliliambia gazeti hili kwamba Wolper alishawishiwa na msanii wa Bongo movie wa kiume ambaye jina lake si maarufu sana, kwa kumpa namba za wahusika wa Afrika Kusini “Wolper ameingia Freemason na ameshawishiwa na msaani..(anataja jina).., yeye ana mwambia akiwa huko anaona matunda yake kwani ni imani ambayo binaadam unahisi kama pepon, “alisema rafiki huyo. Tangu Wolper amejiunga na imani hiyo hiyo inayo samba kwa kasi nchini Tanzania amekuwa akipata mafanikio makubwa sana tena kwa haraka. “Wee kama unataka kuamini angalia tangu mwaka huu 2012 umeanza Wolper mabo yana myookea tu. Awali alikuwa akiishi eneo ambalo alimfai kama staa, sasa amehamia Mbezi tena kwenye jumba zuri.” Alisema mtoa habari huyo..Magari na miradi mingine si zawadi kutoka kwa mchumba wake aitwaye Abdaallah Mtoro’Dallas’ kama anavyodai mwenyewe Wolper bali ni baraka za Freemason. Mmekuwa mkiandika kuwa magari ananunuliwa na mme wake kasema nani? Akisema, Ile ni kama njia ya kukwepea tu, lakini ukweli kwa sasa ni Freemason ndio wanaombeba kwa sasa. Akaongeza “Wazazi wa Wolper wapo katika wakati mgumu, mama yake amepata fununu za mwanaye kujiunga na Freemason na ndugu waka mweka chini Kama nikweli ajitoe mara moja.”.

 KANUMBA ALIJIUNGA NIGERIA.
Hivi karibuni mtu mmoja aliyejitaja kuwa ni mchungaji wa kanisa moja la kiroho jijini Dar, George Kariuki alizungumza kupitia kituo cha radio Times FM kuwa marehemu STEVEN KANUMBA alijiunga na u-Freemason nchini Nigeria nchi ambayo iko mbali kidogo kutoka Tanzania kuliko ilivyo Afrika Kusini anakodaiwa kwenda Wolper. Hata hivyo mafanikio ya kanumba yanaonekana, kupata mali kwa kasi ya ajabu, nyota yake kung’ara lakini mwisho wa yote ilifika mahali imani hiyo inatajwa na baadhi ya watu kuwa ndiyo chanzo kikuu cha kifo chake ( mungu ailaze pema peponi-Amina. BOFYA HAPA UMSIKIE WOLPER; Baada ya madai hayo Wnilimuuliza Wolper nikitaka nijue ukweli, bahati nzuri nilimtafuta mlimani city na kuonanae uso kwa uso siku ya jumatano na kumtaka azungumze ukweli ila haikuwezekena nina masikitiko makubwa saana juu ya msiba wa kanumba.

Comments

Popular posts from this blog

VARIOUS MASONIC SYMBOLS

CHADEMA yazidi kuikalia kooni CCM